Header Ads

header ad

BENK Ya NIC YAKABIDHI MISAADA MBALIMBALI KATIKA KTUO CHA WATU WENYE MSHITAJI MAALUMU MBIRAHATI


Wafanyakazi wa Benki ya NIC wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu (jina limehifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam.
 Mkurugenzi mkuu wa uendeshaji wa benki ya NIC, Bi Beatrice Kyanzi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo kimoja cha watu wenye mahitaji maalumu (jina linahifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam
Picha ya Pamoja.Picha zote na Josephat Lukaza – Lukaza Blog

No comments

Powered by Blogger.