WAIGIZAJI WA KIHINDI (BOLLYWOOD), WANAOMILIKI MKWANJA MREFU
Unapozungumzia soko la filamu duniani huwezi kuacha kuizungumzia nchi ya India "bollyhood" ambayo ina mafanikio makubwa sana katika solo la filamu duniani hali iliyowafanya waigizaji wa bollyhood kukusanya mtonyo mrefu katika mauzo ya filamu zao na hata kujikuta ni wasanii wanaolipwa mpunga mrefu wanapohitajika kucheza movie yoyote.
Sasa SalvaNews Tanzania imekuletea list ya waigizaji matajiri wa bollyhood ambao wanatajwa kumiliki utajiri mkubwa 2016/2017 kama ifuatavyo
10.JOHN ABRAHAM
Huyu ni muigizaji anayemiliki utajiri unakadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 55 na filamu zake ni pamoja na "desi boys" race na dostana ambayo bado inafanya vizuri sokoni.

9.SANJAY DUTT
Muigizaji Huyu ambaye pia ni mtayarishaji wa filamu ambaye wengi wanamtaja kama msanii anayejua kuuvaa uhusika katika filamu yeye anatajwa kumiliki utajiri unakadiriwa kufikia dola million 55 ingawa anaendelea kutumika kifungo gerezani kwa makosa ya kumiliki silaha kinyume na sheria.
filamu India na pia Mtoto wa mwigizaji mkongwe RISH KAPOOR hata hivyo kijana huyu Mdogo ana utajiri unaokadiriwa kufikia dola milioni 66.
7.SAIF ALI KHAN.
Muigizaji huyu ambaye pia ni mume wa muigizaji KAREENA KAPOOR anatajwa kumiliki utajiri unaokadiriwa kufikia dola milioni 67.

6.HRITHIK ROSHAN
Wengi tulimfahamu zaidi kwenye filamu ya kahoona pyar hair na ile ya koi mil gaya na pia krish

5.AKSHAY KUMAR
Muigizaji huyu anatajwa kumiliki utajiri unaokadiriwa kufikia dola millioni 100 filamu zake zilizompa mafanikio makubwa ni pamoja na "Khilad 240" na "Namaste London"

4.AAMIR KHAN.
Wengi wamemfahamu zaidi kwenye filamu ya "raja Hindustan" lakini anabaki kuwa kwenye orodha ya wasanii matajiri zaidi na tabia yake ya kuachia filamu moja tu kwa kila mwaka jambo ambalo limempa umaarufu mkubwa na kumfanya kuwa tajiri anayemiliki utajiri unaokadiriwa kufikia dola million 185.

3.SALMAN KHAN
Jamaa ambaye ana zaidi ya miaka 51 lakini hajawahi kuoa mpaka Leo wala kuwa na mtoto na ambaye Mara kwa Mara amekuwa akipelekwa gerezani kwa matukio mbali mbali muigizaji huyu pia anamiliki kipindi cha televisheni kiitwacho "big boss"na pia ana NGO yake ya kuwasaidia watu wasiojiweza na masikini na huyu anamiliki utajiri unaokadiriwa kufikia dola million 200.

2.AMITHABH BACHCHAN.
Kama umewahi kuitazama filamu ya "ANDHAA KANOON"basi naamini utakuwa unaujua umahiri wa gwiji huyu wa filamu ambaye kwa miaka mingi amekuwa muigizaji mpaka Leo ni baba yake mzazi na ABHISHEK BACHCHAN ambaye ni pia ni mkwe wa mwigizaji mrembo Aishwarya aliyeolewa na mwanaye Abhishek ambaye alimpokonya Salman

khan so Amithab anamiliki utajiri unaokadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 400 na kumfanya kushika nafasi ya pili kama muigizaji Tajiri zaidi India.
1.SHAHRUKH KHAN
Wengi hupenda kumwita mzee wa mapenzi mubashara "king khan"lakini yeye hupendelea kujiita SRK star wa filamu kali kibao ambaye wengi wamemjua zaidi kupitia ile filamu yake iliyompa umaarufu mkubwa duniani ya "kuch kuch hota hai"na nyinginezo nyingi ikiwemo "koyla" na kabhi kush kabhi ghum na moja kati ya waigizaji wenye mafanikio makubwa ambaye ana utajiri unaofikia dola za kimarekani 600 hali inayomfanya kuwa muigizaji tajiri zaidi Bollyhood.
Imeandaliwa na Praygod Thadei Dozee.

Post a Comment