Header Ads

header ad

TPDC YAIBUKA MSHINDI WA TUZO YA BANDA BORA SEKTA YA NISHATI NA MAZINGIRA


Waziri wa Malisili na
Utalii,Prof Jumanne Maghembe kushoto akimkabidhi
Afisa Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)
Augustino Kasale tuzo ya mshindi wa banda bora la sekta ya nishati na
mazingira katika maonyesho ya Kimataifa ya Biashara wakati alipokwenda
kuyafunga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine
Shigella.
 Waziri wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe kushoto
akifurahia jambo na
  
Afisa
Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Augustino
Kasale mara baada ya kumkabidhi tuzo ya mshindi wa banda bora la sekta
ya nishati na mazingira
katika maonyesho ya Kimataifa ya Biashara wakati alipokwenda kuyafunga
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella.
 Watumishi wa Shirika la Maendeleo
ya Petroli Tanzania (TPDC) wakiongozwa na Afisa Uhusiano wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Augustino Kasale kulia na katikati
ni Mwanasheria wa TPDC Kelvin Gadi wakiwa na tuzo yao
walioipata
 Watumishi wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakiongozwa na
Afisa Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)
Augustino Kasale kulia na katikati ni Mwanasheria wa TPDC Kelvin Gadi
wakiwa na tuzo yao waliyoipata
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kulia ni Mwanasheria wa
Shirika hilo Kelvin Gadi
 Mwanasheria wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Kelvin Gadi kulia akisisitiza jambo
kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto mara baada ya
kulitembelea banda lao
 Mkuu wa wilaya ya Handeni Mkoani
Tanga,Godwin Gondwe wa pili kutoka kulia mwenye miwani akiteta jambo na
watumishi wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mara baada
ya kulitembelea
Mkuu wa wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,Godwin Gondwe wa pili kutoka kulia mwenye miwani akiwa kwenye picha ya pamoja  na watumishi wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mara baada ya
kulitembelea 
Habari kwa hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha.

No comments

Powered by Blogger.