AFARIKI NJE YA BENKI BAADA YA KUAMBIWA MALIPO YAKE HAKUNA.
-Familia ya Hassan Haji Keinan 70 ilisema marehemu alikuwa amesafiri kutoka kijiji cha Mataarba kilichoko Hulugho ili kupokea malipo yake kutoka kwa benki -Mzee huyo anasemekana alipatwa na mshituko baada ya kuambiwa kuwa hakuwa katika orodha ya waliostahili kupokea fedha hizo ambazo zimekuwa zikitolewa na serikali ya Kenya.
Aidha, mzee huyo alikuwa akitarajia kupokea KSh 8,000 ambazo zilikuwa zimejilimbikiza kwa muda wa miezi minne.
“ Wakati wake wa kuhudumiwa ulipofika, keshia alimwambia kuwa jina lake halikuwa katika orodha ya waliostahili kupokea fedha hizo. Mzee huyo alianza kutokwa na jasho, akazirai na kuaga dunia alipokuwa akipelekwa hospitali kuu ya Garis
Post a Comment