MADEREVA WALEVI SASA KUPEWA ADHABU YA KUFANYA USAFI MOCHWARI November 22, 2017 Mamlaka ya usalama wa uchukuzi nchini Kenya NTSA imependekeza adhabu mpya miongoni mwa madereva walevi. Madereva walevi s...Read More
MUGABE AJIUZULU URAIS November 21, 2017 Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Spika wa bunge Jacob Mude...Read More
RAIS MUGABE ATUMBULIWA November 19, 2017 Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PF kimemfuta Robert Mugabe kama kiongozi wake. Kimemtua aliyekuwa makamu wa rais Emmerson Mnangagw...Read More
MUGABE AONEKANA HADHARANI November 17, 2017 Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu jeshi la nchi hiyo lichukue madaraka siku ya Jumatano. ...Read More
TETEMEKO LAUWA WATU 250 WAKIWEMO WATOTO 20 NCHINI MEXICO September 20, 2017 Tetemeko kubwa la ardhi limeikumba Mexico na kuua watu karibu 250 na kuangusha makumi ya majengo katika mji mkuu wa Mexico City. ...Read More
WAZIRI WA USALAMA KENYA AFARIKI DUNIA July 08, 2017 Jenerali Joseph Ole Nkaissery Na BBC Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery amefariki dunia. Waziri hu...Read More
SADAKA ILIYOIBIWA YAKATALIWA, ALIYOIPELEKA KANISANI APIGWA FAINI June 11, 2017 Mwanamke huyo ambaye jina lake halijatajwa, anasemekana kumwiba kuku wa jirani hali iliyowafanya Viongozi wa kanisa kulazimika kuin...Read More
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAWAPIGA MSASA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI KUHUSU SHERIA YA TAKWIMU YA MWAKA 2015 June 01, 2017 Mwanasheria wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Oscar Mangula akiwasilisha mada inayohusu Sheria mpya ya Takwimu ya mwaka 2015 wakati wa...Read More
JENEZA LA "JAMBAZI MREMBO ZAIDI"LAPASUKA WAKATI MWILI WAKE UKISHUSHWA KABURINI. May 21, 2017 Kituko kwenye maziko ya marehemu Claire Njoki's mjini Muran'ga nchini Kenya karibu kutibue shughuli nzima ya maziko ya mremb...Read More
AFARIKI NJE YA BENKI BAADA YA KUAMBIWA MALIPO YAKE HAKUNA. May 18, 2017 Mwanamume mmoja alifariki nje ya benki moja katika kaunti ya Garissa wakati akingojea pesa za malipo ya wazee,Read More
KOREA KASKAZINI YAITUHUMU CIA KUPANGA NJAMA ZA KUMUUA KIM JONG-UN May 08, 2017 Korea Kaskazini imetuhumu madalali wa Marekani na Korea Kusini kuwa wanapanga njama za kumuua kiongozi wa taifa hilo Kim Jong-un. Read More