KAIRUKI AZINDUZA MAFUNZO UONGOZI KWA MAOFISA WA POLISI.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na
Utawala bora Mhe.Angelah Kairuki akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini IGP Ernest Mangu wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Mafunzo ya
Uongozi kwa Maofisa wa wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma.Mafunzo hayo
yanaendeshwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Chuo cha Aalto
cha nchini Finland.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
ndani ya nchi Balozi Simba Yahaya.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu
akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Mafunzo ya Uongozi kwa
Maofisa wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma.Mafunzo hayo yanaendeshwa na
Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Chuo cha Aalto cha nchini
Finland.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na
Utawala bora Mhe.Angelah Kairuki na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Uongozi Prof. Joseph Semboja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na
Utawala bora Mhe.Angelah Kairuki akizindua Programu ya Mafunzo ya
Uongozi kwa Maofisa wa wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma yanayoendeshwa na
Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Chuo cha Aalto cha nchini
Finland.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu na
kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba na
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Prof. Joseph Semboja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na
Utawala bora Mhe.Angelah Kairuki (katikati), Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
IGP Ernest Mangu wakionyesha Vitabu vyenye Programu ya Mafunzo ya
Uongozi kwa Maofisa wa Jeshi la Polisi yanayoendeshwa na Taasisi ya
Uongozi kwa kushirikiana na Chuo cha Aalto cha nchini Finland mjini
Dodoma leo.Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo Maofisa wa Polisi
katika Uongozi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na
Utawala bora Mhe.Angelah Kairuki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.
Mwigulu Nchemba na Viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja
na Maofisa wa Jeshi la Polisi waliopo katika Mafunzo ya Uongozi
yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Chuo cha Aalto
cha nchini Finland.Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo Maofisa wa
Polisi katika Uongozi ambapo baada ya kuhitimu watatunukiwa
“Post-Graduate Diploma in Leadership”
Baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Polisi waliopo katika Mafunzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Chuo cha Aalto cha nchini Finland.Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo Maofisa wa Polisi katika Uongozi ambapo baada ya kuhitimu watatunukiwa “Post-Graduate Diploma in Leadership”.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Post a Comment