MUHIMBILI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VIPYA VYA UPASUAJI VYENYE THAMANI YA BIL.1.5
Picha ya pamoja ya watumishi wa Hospitali ya Muhimbili wakiongozwa na Waziri wa Afya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa vyumba vya upasuaji kwa watoto uliofanyika mapema leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya taifa Muhimbili Prof. Laurence Museru akitoa maelekezo mbele ya Waziri wa Afya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katika wodi ya watoto, wakwanza ni mzazi wa mtoto Patrick Jafari Juma anaesumbuliwa na maradhi (Hayupo kwenye picha).
Waziri wa Afya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na mama mzazi wa mtoto Patrick Jafari Juma pindi akitembelea wodi za watoto katika Hospitali ya Muhimbili mapema leo wakati wa uzinduzi wa vyumba vya upasuaji kwa watoto.
Watumishi wa Hospitali ya Muhimbili wakifuatilia kwa ukaribu uzinduzi wa vyumba vya upasuaji kwa watoto uliofanywa mapema leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Afya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Hayupo kwenye Picha)
Sir Lan Wood kutoka Archie Wood Foundation akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Afya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa vyumba vya upasuaji kwa watoto uliofanyika mapema leo katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Laurence Museru akiwasilisha hoja mbele ya Waziri wa Afya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa vyumba vya upasuaji kwa watoto, wa mwisho kulia ni Sir Lan Wood kutoka Archie Wood Foundation.
………………….
NA WAMJW-DAR ES SALAAM
HOSPITALI yaTaifayaMuhimbili (MNH) imepokeamsaadawavifaavipyakwaajiliyavyumbaviwilivyaupasuajiwawatotowenyethamaniyashilingiBilioni 1.5 kutokaTaasisibinafsiya Archie Wood Foundationya Scotlandilikufanyahudumahiyokupatikana kw urahisinchini.
Akizungumzakatikauzinduziwavyumbavyaupasuajikwawatotouliofanyikaleojijini Dar es salaam Waziri waAfya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,WazeenaWatotoMhe. UmmyMwalimuamesemakuwamsaadahuoumeonyeshajinsiganiWahisaniwanaushirikianonaSerikalikatikakuletamaendeleohasakatikasektayaafyanchini.
“KutokananaWahisanikujitokezamarakwamarakatikakushirikiananaSerikaliyetukwenyesektayaafyatumepunguzaasilimia 40 yawagonjwawanaokwendanjekwaajiliyamatibabunalengoletunikupunguzaasilimia 70 mpakakufikia 2025”alisema Waziri Ummy.
Aidha Waziri UmmyameongezakuwaWazazinawaleziwawemsatariwambelekuwakatiawatotowaobimayaafyaijulikanayokama Toto Afyakwagharamayashilingielfu 54 ilikuokoagharamazinginezisizonalazimakwaajiliyakupatamatibabu.
Kwa upande wake MkurugenziMtendajiwa MNH Prof. Laurence MuseruamesemakuwakutokananamsaadawavifaahivyoHosiptalihiyoinatimizaidadiyavyumbaviwilivyaupasuajivilivyokamilikakwaajiliyaupasuajiwawatoto.
“Tulikuatunafanyaupasuajikwawatotowadogomaratatukwa wiki kutoknanaufinyuwavifaalakinikutokananavifaahivitutafanikiwakufanyaupasuajimarakumikwa wiki” alisema Prof. Museru.
Post a Comment