MILLARD AYO AWASHAURI VIJANA HAYA
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Amplifire kupitia Clouds fm Millard Ayo
amewasihi vijana kutokata tamaa nakuwa wavumilivu hasa pale wanapotafuta kutoka kimaisha .
Akizungumza katika kipindi cha The beat lab cha Afya Radio alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi hicho Clavery Thomas,ambapo mtangazaji huyo mwenye ushwawishi mkubwa kwa vijana wengi amesema kuwa yeye alipitia changamoto nyingi katika harakati za kutafuta kutimiza ndoto zake hadi kufikia hapo alipo
Post a Comment