IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HICHO. IGP SIRRO ALITUMIA FURSA HIYO KUWATAKA WANANCHI KIJIJINI HAPO KUTOWAFUMBIA MACHO WAHALIFU WANAOTENDA MAUAJI HAYO NA KUWATAKA KUWA NA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KWA KUTOA TAARIFA ZA WAHALIFU HAO.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKITOA RAMBIRAMBI YA MSIBA KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HICHO
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIKAGUA NYUMBA ILIYOCHOMWA MOTO NA WAHALIFU WALIOFANYA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI HAYO. PICHA NA HASSAN MNDEME-JESHI LA POLISI.
Post a Comment