VIN DIESEL ; NAWEZA KUMCHAPA THE ROCK…..
Mwigizaji Vin Diesel amesema kwenye maisha ya kawaida anaweza kupigana na kumshinda mwigizaji mwenzake The Rock.
Blogger wa habari za michezo amesema Vin Diesel na The Rock wamemaliza beef zao ila bado wanataka kujua nani mbabe zaidi ya mwenzake na muda wowote Vin Diesel yuko tayari kupiga uso kwa uso na The Rock.
The Rock na Vin Diesel hawajaelewana toka wagombane wakati wanarekodi filamu ya ‘The Fate of the Furious’….
Post a Comment