Header Ads

header ad

VIJANA WAPATA TRACTOR ZA KILIMO KUTOKA TRACTOR POVIDER & CAR JUNCTION




Ibrahim Charles  Benjamin , ambaye yuko upande wa kulia akizungumza na waandishi wa habari katika karakana ya CAR JUNCTION na TRACTOR PROVIDER, ubungo jijini Dar es salaam, aliye upande wa kushoto ni Salum George Chelewa ni mmoja kati ya vijana wakulima waliofika hapo kuchagua Tractor.
 
 
 
 
 

 
 
 
Vijana  wanao maliza masomo kati ya 900,000 hapa nchini, 47 tu ndio wanaopata ajira waliobakia  hukaa vijiweni  bila ajira amashughuli za kufanya , kutokana na hali hiyo wameshauriwa kujiunga na vikundi vya kilimo ilikujikwamua kimaisha na kujenga uchumi wa nchi .

Wito huo umetolewa na  bwana Ibrahim Charles  Benjamin , ambaye nikati ya watanzania ambao wamejitolea katika kuwa saidia na kuwahamasisha vijana kufanya kazi kwa kutumia lasilimali ardhi hasa kilimo.

“Nimekuja hapa Car Janction kuchagua Tractor kwaajili ya vikundi vya kilmo nashukuru vijana wamenielewa na sasa ninao vijana 80 ambao wamekubali kulima na ninayo  maeneo  mkoa wa Ruvuma , Morogoro, na mkoa wa Pwani ,kwa kuanza tuta anza na kulima huko kiwangwa mkoani Pwani, nashukuru wamenielewa na watatupatia Tractor 8” amesema  Ibrahim.

Amesema  asilimia kubwa ya vijna wakitanzania hawana shuguli za kufanya mimimkwa kuona hii fursa nmeamua kwa ene ambalo nimepata la hekal  100 nataka kila hekal moja  anatarajia watasimamia vijana watatu  na washukuru pia wataalam waliomshauri kupata maeneo na kuyapima ili yaweze kutambulika zaidi na kufaa katika kilimo.

Salum George Chelewa ni moja ya vijana waliokubali kuingia katika kilimo yeye ameiomba serikali kusaidia vijana katika kuwapatia dhana za kilimo nakuongeza kuwa vijana wanaathirika san asana na hali ya ukosefu wa ajira na baadhi yao wanajiingiza katika makundi ya uharifu na kuhatarisha maishayao , kuingia katika uzalishaji  katika shughuli za kilimo ktasaida sana kupunguza uharifu nchini.

mshauri wa biashara na ufundi wa kampuni ya   Car Junction Japan na Tactor Provider,  Clever Mwaikambo akizungumza na waandishi wa habari.
Kwa upandewake mshauri wa biashara na ufundi wa kampuni ya   Car Junction Japan na Tactor Provider,  Clever Mwaikambo amesema amekubali wazo la vijana hao na kukubali kuwa uzia tractor kwa bei nafuu na kuendelea kuwapa  usahaur pale utakapo hitajika .


“Kama mtanzania na  mshauri wa biashara  walipo kuja hapa ofisini niliwasikiliza na nika soma vizuri andiko lao nimeona wana mawazo mazuri na ngazi walizopita  zina eloeweka nilichofanya ni kuzungumza na hawawenye kampuni wanao uza Tractor  na kuwa ambia kuwa nawao kama watoa huma wanatakiwa kurudisha kwa jamii vile wanakipata kupitia biashara  na wamekubali tumetenga tracto 8 kwaajili yao na wamekubali kuwauzia kwa bei nafuu ikiwa kama msaada wao pia kwa hawa vijana”Amesema  Mwaikambo.




No comments

Powered by Blogger.