BENKI YA CRDB YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA WILAYANI CHATO
Na Binagi Media Group
Katika
kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja mwaka huu 2017, benki ya CRDB jana
simetoa semina kwa wateja wake katika wilaya ya Chato mkoani Geita na pia
kupokea maoni yao ili kuboresha zaidi huduma zake.

Akizungumza
kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wakubwa
Goodlack Nkini aliwahakikishia wateja wa benki hiyo huduma ya mikopo kwa muda
wa siku saba na hivyo kuwahimiza wafanyabiashara kuitumia benki fursa hiyo
kukuza mitaji yao ya biashara.

Aidha
alisisitiza kwamba benki hiyo itaendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake
ikiwa ni benki inayoongoza kwa kutoa mikopo hapa nchini huku pia jamii
ikiendelea kunufaika na benki hiyo kupitia gawio la faida ambalo hutolewa kila
mwaka ili kusaidia shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo afya na elimu.

“Tunaomba
tuendelee kushirikiana pamoja ambapo CRDB ni benki ya muda mrefu iliyo salama
na imara kufanya nayo kazi ikiongoza kwa zaidi ya miaka 10 sasa kwa kutoa
huduma bora na zenye riba nafuu nchini”. Alisisitiza Nkini kwenye semina hiyo
iliyojumuisha pia wateja wa CRDB kutoka Geita, Muleba, Ngara na Bihalamulo.

Meneja wa
CRDB tawi la Chato, Msigwa Mganga alisema benki hiyo imeendelea kuwafikia
wateja wake kote nchini kupitia huduma mbalimbali ikiwemo Fahari Huduma, Simu
Banking pamoja na Internet Banking na hivyo kuwa benki yenye mtandao mkubwa
unaowawezesha wateja wake kupata huduma za kibenki popote walipo.

“Huduma zetu
ni bora kuliko benki nyingine yoyote nchini hivyo natoa rai wateja wetu kutumia
huduma zetu ikiwemo mikopo kwa ajili ya mitaji ya biashara zao kwani tunao
uwezo mkubwa wa kuwahudumia”. Alidokeza Meneja wa CRDB tawi la Mwanza, Wambura
Calystus.

Baadhi ya
wateja wa CRDB, Mellia Alloyce pamoja na Ristides Ramadhan walikiri kunufaika
na benki hiyo kupitia huduma mbalimbali ikiwemo huduma ya mikopo na hivyo
kukuza biashara zao huku hivi sasa wakifurahia uharaka wa huduma hiyo tofauti
na hapo awali.

Katika hatua
nyingine benki ya CRDB ilisaidia ujenzi wa vyoo katika shule za msingi za
Kalema, Muungano na Katemwa A katika halmashauri ya wilaya ya Chato ambapo
msaada huo ulijumuisha mifuko 150 ya saruji, mabati, sinki za vyoo pamoja na
vyombo vya kukusanyia taka na tenki la maji kwa ajili ya halmashauri hiyo.

Kaimu
Mkurugenzi wa halmashauri ya Chato, Mwl.Delphina Cosmas aliishukuru benki hiyo
na kubainisha kwamba bado kuna uhaba wa vyoo kwenye shule nyingi na kuiomba
kuendelea kusaidia utatuzi wa changamoto hiyo ili kutoa chachu kwa wadau na
benki nyingine kuiga mfano huo.

Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wakubwa Goodlack Nkini, akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji CRDB. Meneja wa CRDB tawi la Mwanza, Wambura Calystus akizungumza kwenye semina hiyo. Meneja wa CRDB tawi la Chato, Msigwa Mganga akizungumza kwenye semina hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Chato, Mwl.Delphina Cosmas , akichangia mada kwenye semina hiyo.
Post a Comment