"YACHUKUENI MAGARI, BOTI NA WAKIJA KULIPIA FAINI WAKAMATENI NAWAO" WAZIRI MWIGULU
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba ameagiza kuchukuliwa kwa magari na boti ambazo zimetumika kusafirishia wa hamiaji haramu wanaoingia nchini kinyume na sheria na kwa wale ambao watakuja kuwalipia faini nao wachukuliwe wajumiishwe katika kutenda kosa hilo.
Waziri Mwigulu amesema hayo akiwa mkoa wa pwani katika ziara ya kikazi ya ukaguzi wa kiwanda cha vitambulisho vya Taifa NIDA na ofisi ya Uhamiaji mkoa wa pwani.
Waziri Mwigulu ameagiza kuanzia sasa mtu ambaye atakuja kuwalipia faini wahamiaji haramu ili waachiwe naye ajumuishwe na vifaa ambavyo vimetumika kuwasafirishia navyo vichukuliwe vipelekwe magereza na katia idara nyingine zenye maitaji ya vifaa.
Akiwa katika kiwanda cha NIDA waziri Mwigulu amesema kiwanda hicho kimekamilika kwa asilimia 99.9 na ni jengo kubwa ambalo linaweza kumu kuhudumia kitaifa hivyo anawapongeza sana kwani kitasaidia zaidi upatikanaji wa vitambulisho kwa kila mwananchi.
Ameongeza kusema kuwa kwasasa wananchi hutumia vitambulisho vingi lakin kwasasa takuwa na kitambulisho kimoja na taarifa zake tangu anazaliwa mpaka anakuwa anamiliki kiwanda au anafanya shughuli nyingine taarifa zake zote zinakuwa zimehifadhiwa zinajulikana.
Naye Alphonce Malibiche ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa NIDA amesema kwasasa wanakamilisha taarifa na vifaa vya uzalishaji wa vitambulisho na kiwanda kukamika ndani ya mwez huu na mradi mzima wa kujenga katika baadhi ya wilaya kukamilika mwezi December mwaka huu

Post a Comment