Header Ads

header ad

MWONEKANO WA DARAJA LA FURAHISHA JIJINI MWANZA BAADA YA KUKAMILIKA.


Daraja jipya la Furahisha lililopo barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa Mwanza, limekamilika na sasa limeongeza chachu ya uzuri wa Jiji hilo. 

Hili ni daraja la pili la watembea kwa miguu Jijini Mwanza baada ya lile la Mabatini lililopo barabara ya kuelekea stendi ya mabasi Buzuruga. Uzinduzi wa daraja la Furahisha unatarajiwa kuvuta hisia za wakazi wengi wa Jiji la Mwan

No comments

Powered by Blogger.