TEMESA WAPEWA SEMINA YA UKIMWI NA TACAIDS
Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir akizungumza wakati akitoa semina kuhusu Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano makao makuu ya TEMESA jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakimsikiliza Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir (hayupo pichani) wakati akitoa semina kuhusu maambukizi mapya ya Ukimwi iliyofanyika ofisini hapo.
Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir akisisitiza jambo wakati alipokua akitoa semina ya Ukimwi kwa wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) iliyofanyika katika makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar Es Salaam.
Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir akisisitiza jambo wakati akitoa takwimu kuhusu viwango vya maambukizi ya Ukimwi kimkoa kwa wafanyakazi wa TEMESA katika semina iliyofanyika makao makuu ya wakala huo jijini Dar Es Salaam.

Post a Comment