Header Ads

header ad

WAZIRI MWAKYEMBE APIGA MARUFUKU USOMAJI WA MAGEZATI KWENYE TELEVISHENI NA RADIO NCHINI.



Waziri wa Habari,utamaduni, sanaa na michezo Dkt Harrison Mwakyembe amezitaka Televisheni na Redio kuanzia kesho kusoma vichwa vya habari vya magazeti tu ili kuwavutia wasomaji kununua magazeti kwa habari kamili.
Dkt, Mwakyembe ameyasema haya leo jijini Mwanza katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari nchini ambapo pia amesema ataendelea kutetea na kulinda haki za waandishi wa habari huku akiwahakikishia ulinzi waandishi wa habari za uchunguzi

No comments

Powered by Blogger.