TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA YA UPIMAJI WA MOYO KWA MTOTO ALIYEPO TUMBONI KWA MAMA YAKE (FETAL ECHO)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete Prof. Mohamed Janabi akiongea na waandishi wa
habari kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo ikiwemo
upimaji wa kina mama wajawazito moyo wa mtoto aliyepo tumboni (Fetal
ECHO) ili kuangalia kama una magonjwa au la. Kutolewa kwa huduma hiyo
kutasaidia kufahamu afya ya mtoto aliyepo tumboni ikiwa ni pamoja na
hali ya moyo.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya
Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani
akimpima Mama Mjamzito moyo wa mtoto aliyepo tumboni ili kuangalia
kama una magonjwa au la. Mwishoni kwa mwaka jana Taasisi hiyo iliwapima
wajawazito 25 kati ya hao watano watoto wao walikutwa na matatizo ya
Moyo.
Picha na Anna Nkinda – JKCI
Post a Comment