MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SIKU YA UKIMWI DUNIAN
Makamu wa rais wa Tanzania Mh Samia Suluhuanatarajiwa kuwa mgeni rasm katika maadhimisho ya siku ya ukimwi dunia ambayo hufanyika kila disemba mosi ya kila mwaka
Akizungumza na wandishi wa habari Leo jijini dar es salaam Mkurugenzi mtendaji wa tume ya kudhibi ukimwi nchini TACAIDS, Dtk Leord Maboko amesema kuwa kuanzia jumatatu hii kutaanza kwa shughuli za upimaji wa virusi vya ukimwi katika uwanja wa mnazi mmoja na atakayegundulika kuwa na maambukizi hayo ataanzishiwa dawa za kufubaza virus vya ukimwi
Aidha Amesema kuwa Bodi ya mfuko wa udhamini wa ukimwi Tanzania Imeandaa matembezi yenye malengo ya kuhamsisha watu kujua masuala ya ukimwi ili kuweza kuchagia mfuko wa udhamini wa ukimwi kwa kununua tshet na kuchangia kias cha fedha kitakachotumika kunua dawa
Awali akizungumza katika mkutano huo mwenyekiti wa bodi ya mfuko wa udhamini wa ukimwi Tanzania Godfrey Simbeye amewaomba watanzania, makampuni na mashirika binafsi kuchangia mfuko huo kwa lengo la kufikisha bilioni 600 ili k kununua dawa aina Septrin /co-trimoxazole
Insert: Simbeye
Bodi ya mfuko wa udhamini wa ukimwi Tanzania Imeandaa matembezi yenye malengo ya kuhamsisha watu kujua masuala ya ukimwi ili kuweza kuchagia mfuko wa udhamini wa ukimwi kwa kununua tshet na kuchangia kias cha fedha
Na James Salvatory
Post a Comment