MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA DUNIA WA WANAWAKE KATIKA MASUALA YA BENKI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker (kulia) mara baada ya
ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu masuala ya Benki
uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu
masuala ya Benki uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Post a Comment