Header Ads

header ad

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA UPISHI NA UKARIMU KWA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA SERIKALI


DSC_6136
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi mbali mbali  kwa Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo,ambayo  yanayoendeshwa na Taasisi kutoka “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)” yatakayochukua wiki mbili katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi
DSC_5912
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu wakimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa na Taasisi kutoka “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries(CNRIFFI) ” yatakayochukua wiki mbili katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi
DSC_5855
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu wakimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa na Taasisi kutoka “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries(CNRIFFI) ” yatakayochukua wiki mbili katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,
DSC_6048
Washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu kutoka Taasisi za Serikali  wakimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa na Taasisi kutoka “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)” yatakayochukua wiki mbili katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,
DSC_6113
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi mbali mbali  wa Taasisi za Serikali  katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo,yanayoendeshwa na Taasisi kutoka “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries(CNRIFFI) ” yatakayochukua wiki mbili katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,
DSC_6007
Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Xie Xiaowu alipokuwa akitoa salamu zake katika ufunguzi wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu kwa Wafanyakazi mbali mbali  wa Taasisi za Serikali  katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo,yanayoendeshwa na Taasisi kutoka “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)” yatakayochukua wiki mbili katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi
DSC_6053
Makamu wa Rais wa Taasisi ya (CNRIFFI) “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries” Bw.Huang Yutong alipokuwa akizungumza machache wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mapishi na Ukarimu katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo ,ambayo yatafanyika  na kuendeshwa na Taasisi hiyo katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,
DSC_5876
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu wakimsikiliza  Makamu wa Rais wa Taasisi ya (CNRIFFI) “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries” Bw.Huang Yutong alipokuwa akizungumza machache wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo hayo  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa kwa wiki mbili na Taasisi hiyo katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi
DSC_5973
Wakufunzi wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu katika Taasisi ya “China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)” walipokuwa wakimpongeza Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo  Bw.Huang Yutong (hayupo pichani) mara baada ya kuzungumza katika Ufunguzi wa Mafunzo hayo  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa kwa wiki mbili na Taasisi hiyo katika  Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi
Picha na Ikulu.

No comments

Powered by Blogger.