TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA BLK YA NCHINI INDIA YAFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA WA MOYO
Madaktari Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Evarist Nyawawa (kulia) na mwenzake Ajay Kaul (kushoto) wa Hospitali ya BLK ya nchini India wakimfanyia mgonjwa leo upasuaji wa kuziba tundu la moyo.
Madaktari Bingwa wa usingizi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Anjela Muhozya na Sameer Arora wa BLK Hospitali ya nchini India wakizungumza jambo wakati wakimsubiri mgonjwa aandaliwe kwaajili kuingia katika chumba cha upasuaji wa Moyo.
Madaktari Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya BLK ya nchini India wakimfanyia mgonjwa leo upasuaji wa kuziba tundu la moyo.
Kazi ya upasuaji wa moyo kwa ajili ya kuziba tundu lililopo katika vyumba vya chini ya moyo ikiendelea.
Picha na JKCI
Post a Comment