SERIKALI IMESEMA IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MHE.LISSU
Serikali imesema ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Antiphas Lissu ambaye kwa sasa hivi yupo Jijini Nairobi kwa matibabu kufuati washambulio alilolipata Septemba 7,mwaka huu Mkoani Dodoma.
Hayo yamesemwa Jijini Tanga na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akiongea na waandishi wa habari kwenye ofisi ya Mkuuwa Mko ahuo.
WaziriUmmyMwalimualisisitiza Serikaliinasubirikupatamaombikutokakwafamiliayamgonjwaikiambatananataarifarasmikutokakwa madaktarikuhusumahitajiyamatibabuzaidi yamgonjwa”Serikaliipotayari kugharamiamatibabu zaidiyaMhe.LissupopoteDuniani”. AkiwakamaMtanzanianaMbunge,SerikaliinayowajibuwakugharamiamatibabuyakehadiaponeiliawezekuendeleanakaziyakuwahudumiaWatanzanianawanaSingidaMashariki.
Serikali inapendakusisitizakwambaikotayarikuendeleakushughulikiamatibabuendapomaombiyakufanyahivyoyatawasilishwarasmiSerikalini,ikiwemokupatataarifayamaendeleoyaafyayakekutokakwaMadaktariwanaomhudumiahapo Nairobi ambayoitatakiwakupatikanakupitiaridhaaitakayotolewanaMhe.Lissu au MwanafamiliawakaribukamataratibuzaKidaktarizinavyoelekeza.
Aidha, SerikaliimeshangazwanadhanayakuchangishanakwaajiliyamatibabuyaMhe. Lissu, kwanikwakufanyahivyokunawezakutokeamatapeliwatakaochangishaWatanzaniafedhakwamadaikwambaMbungehuyoamekosahelazamatibabu.
WaziriwaAfya,MaendeleoyaJamii,Jinsia, WazeenaWatotoanawashukuruMadaktarinawatoahudumawotewaHospitaliyaRufaa Dodoma kwakazikubwananzuriwaliyoifanyakatikakuokoamaishayaMhe.Lissunakumtakiaapatenafuuharaka
Imetolewana;
NsachrisMwamwaja,
MkuuwaKitengo cha MawasilianoSerikalini-Afya,
21/9/2017.
Post a Comment