Header Ads

header ad

BENJAMINI SITTA AFANYA HAYA HUKO MSASANI


1
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Diwani wa kata ya Msasani Mh. Benjamin Sitta akikabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni Mbili kwa mmoja wa viongozi wa timu ya Abudhabi FC kutoka kata ya Msasani katika mchezo maalum ulioandaliwa kati ya timu hiyo na timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) ambayo inashiriki  uliochezwa kwenye uwanja wa mpira wa Msasani jana jijini Dar es salaam.

2
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Diwani wa kata ya Msasani Mh. Benjamin Sitta akikabidhi Pikipiki mpya kwa mmoja wa viongozi wa timu ya Abudhabi FC kutoka kata ya Msasani katika mchezo maalum ulioandaliwa kati ya timu hiyo na timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC)  ambayo inashiriki ligi daraja la Kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa mpira wa Msasani jana jijini Dar es salaam..
3
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Diwani wa kata ya Msasani Mh. Benjamin Sitta pamoja na viongozi wa kata hiyo na mashabiki wengine wakiangalia chezo huo.
4
Wachezaji wa timu ya Abudhabi na KMC wakichuana vikali kuwania mpira wakati timu hizo zilipokutana katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Msasani jijini Dar es salaam jana.
9
5
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia mchezo huo.
6
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Diwani wa kata ya Msasani Mh. Benjamin Sitta akizungumza na wachezaji wa timu hizo kabla ya kuanza kwa mchezo.
7
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Diwani wa kata ya Msasani Mh. Benjamin Sitta akisalimiana na wavhezaji wa timu ya Abudhabi.
8
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Diwani wa kata ya Msasani Mh. Benjamin Sitta akisalimiana na wachezaji wa timu ya KMC.
10
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Diwani wa kata ya Msasani Mh. Benjamin Sitta akiwasili kwenye uwanja wa Msasani kwa ajili ya kukabidhi zawadi na kushuhudia mchezo mkali wa soka kati ya timu ya Abudhabi na KMC uliofanyika jana.

No comments

Powered by Blogger.