MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA NGAZI ZA JUU WA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia
hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Ngazi za juu wa Mapambano
dhidi ya Rushwa uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais
wa zamani wa nchi ya Georgia Mhe. Mikheil Saakshvili akihutubia na kutoa uzoefu
wa nchi yake dhidi ya mapambano dhidi ya rushwa wakati wa ufunguzi Mkutano wa
Kimataifa wa Ngazi za juu wa Mapambano dhidi ya Rushwa uliofanyika kwenye
ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakiangalia
kitabu kinachoelezea mapambano dhidi ya rushwa na Rais wa zamani wa nchi ya
Georgia Mhe. Mikheil Saakshvili (kushoto) wakati Ufunguzi Mkutano wa
Kimataifa wa Ngazi za juu wa Mapambano dhidi ya Rushwa , Rais huyo wa
zamani alitoa uzoefu wake na wa nchi yake katika kupambana na rushwa.

Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa Mkutano wa
Kimataifa wa Ngazi za juu wa Mapambano dhidi ya Rushwa , Rais huyo wa
zamani alitoa uzoefu wake na wa nchi yake katika kupambana na rushwa

……………………………………………………….
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amesema
kuwa Serikali haitarudi nyuma kamwe katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini mpaka hapo vitendo hivyo
vitakapokoma.

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo wakati anafungua Mkutano wa
Kimataifa wa ngazi ya Juu wenye lengo la kubadilishana uzoefu katika mapambano
dhidi ya Rushwa katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini
Dar es Salaam.

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa vita ya kupambana na vitendo vya
rushwa na ufisadi ni kipaumbele cha kwanza katika Serikali ya awamu ya Tano na
wale wote wanaowezesha, kunufaika na kuhusika na vitendo hivyo wataendelea
kuchukuliwa hatua kali za kisheria ili kukomesha vitendo hivyo nchini.

“Kupambana na rushwa ni
jambo la msingi na muhimu kwa ajili ya kuwaletea wananchi maendeleo endelevu
katika nchi yeyote Duniani,” Amesisitiza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu Tano chini ya Uongozi
Shupavu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
inaendelea kukaza kamba katika mapambano dhidi ya rushwa ambayo kwa muda mrefu sasa
yamechangia kurudisha nyuma juhudi za Serikali za kuwaletea wananchi maendeleo
endelevu.

Amesema
Serikali ya Tanzania inalenga kufikia kipato cha kati na kuimarisha uchumi wa
viwanda hadi ifikapo mwaka 2015 hivyo malengo hayo yatafanikiwa haraka iwapo tu vitendo vya rushwa
vitakomeshwa katika ngazi zote nchini.

Rushwa ni baya na
imeharibu sana maisha ya watu na maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii hivyo
ni lazima ikomeshwe ili jamii iishi maisha mazuri“Ameeleza Makamu wa Rais.

Amesema kuwa hakuna nchi yeyote ambayo haijagushwa na misukosuko ya vitendo vya rushwa Duniani
lakini Bara la Afrika limeendelea kuteseka sana na vitendo hivyo kwa miongo
kadhaa sasa hivyo jitihada za pamoja zinatakiwa katika kutokomesha vitendo
hivyo.

Kwa upande
wake, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Angellah Kairuki amemhakikishia Makamu wa Rais kuwa wizara yake itaendelea
kupambana na vitendo vya rushwa ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua kali kwa watumishi
wa umma watakaobainika kujihusisha na vitendo vya rushwa kwenye maeneo yao ya
kazi.

Naye, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia bi Bella Bird amepongeza jitihada kubwa
zinazofanywa na Serikali ya awamu ya Tano za kupambana na vitendo vya rushwa na
kusisitiza kuwa Benki hiyo ataendelea kutoa mchango wake wa hali na mali katika
kuisaidia Tanzania katika uimarishaji wa mapambano hayo.

Mkutano huo wa
Kimataifa wa ngazi ya Juu wenye lengo la kubadilishana uzoefu katika mapambano
dhidi ya Rushwa unaofanyika nchini unahudhuriwa na viongozi mashuhuri kutoka
ndani na nje ya nchi wenye uelewa na uzoefu katika mapambano dhidi ya rushwa.

Post a Comment