Header Ads

header ad

TLS YAJA NA JENGO LA BILIONI TATU





Na James bayachamo-Salvanews

Chama cha  wanasheria wa Tanganyika (TLS ), Leo kimekabidhi  eneo kwa mkandarasi kwa ajiri ya kuanza mara moja kwa ujenzi  wa jengo jipya lenye urefu wa ghorofa nne huku likiwa na thamani ya 
billion 3.


Akizungumza  leo jiji dare s salaam wakati  wa makabidhiano hayo  na mkadarasi , rais wa chama hicho Tundu Lisu amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa chama hicho kimekuwa kikipanga   lakini kutokana na jitihada za maraisi waliomtangulia  ndyo wamekiwezesha kupata eneo ambalo watajenga na itakuwa ni sehemu ya chama ya kudumu.


Aidha amesema   Kukamilika kwa jengo hilo linaloanzwa kujengwa may mwaka huu, litakalochukua wiki 56  litawafanya wao kama chama cha wanasheria kuwa na ofisi za kudumu ambayo itawawezesha hata kupangisha baadhi ya watu watakaohitaji kutokana na mahitaji ya wakati huo .


No comments

Powered by Blogger.