Header Ads

header ad

SERIKALI KUBORESHA KIWANGO CHA VYOO BORA KUFIKIA 2025



Serikali imedhamiria kuboresha kiwango cha vyoo bora  mjini na vijijini  kutoka asilimia 35 hadi asilimia 55 kufikia mwaka 2025
ili kujenga taifa lenye afya bora na lisilo na maambukizi ya magonjwa yatokanayo na uchafu wa vyoo.

Akizungumza hayo kwenye uzinduzi wa  kampeni ya utunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali imepania kufikisha asilimia ya 75 ubora wa vyoo mpaka kufikia 2030

No comments

Powered by Blogger.