DIAMONDI PLATNUMZ AZINDUA RASMI PERFUME YAKE
Diamond Platnumz leo mchana amezindua rasmi perfume yake ya Chibu Perfume, hatua ambayo ni ya kihistoria.
Perfume hiyo yenye asili kutokea Dubai itauzwa kiasi cha
Tsh 105,000. Diamond alisema “Inaaminika kuwa Dubai ndio sehemu
kunakotoka manukato mazuri.
Post a Comment