SALVA HABARI

Header Ads

header ad
  • Home
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • SIASA
    • BIASHARA
    • MICHEZO
    • BURUDANI
    • MAGAZETI
    • AFYA
    Home / HABARI KITAIFA / DAR COACH KUKARABATI TENA MAGARI MENGINE YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA DAR ES SALAAM

    DAR COACH KUKARABATI TENA MAGARI MENGINE YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA DAR ES SALAAM

    Salva November 01, 2017 HABARI KITAIFA

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alievaa koti jeusi akiwa pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama katika eneo la Police ufundi aliejifunga kitambaa ni mkurugenzi wa kampuni hiyo ya magari kutoka DAR COACH Manmeet Lal.


    Muonekano wa magari hayo ambayo yamechukuliwa siku ya leo na kwenda kufanyiwa ukarabati na kuboreshwa zaidi ili yawe na muundo wa kisasa.


    Rc Makonda akiwa kwenye moja ya gari hilo.


    Wakijadiliana jambo na baadhi ya viongozi toka vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar es salaam

    Viongozi hao kwa pamoja wakisubiria kushuhudia magari hayo yakiwa tayari kuondoka na kupelekwa katika ofisi za matengezo ya kampuni hiyo yaliyopo mkuranga mkoani pwani

    Na Mwandishi wetu-Utouh News Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa PAUL MAKONDA leo amekabidhi Mabasi 10 chakavu ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kampuni ya DAR COACH LTD kwaajili kufufuliwa upya na kuwa ya kisasa.

    Mabasi hayo 10 chakavu yanatoka kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Magari 3, Jeshi la Polisi Magari 4 pamoja na Jeshi la Magereza Magari 3 ambapo yote kwa pamoja Matengenezo yake yameokoa kiasi cha Shilingi Billion 1,110,000,000 ya Serikali.

    RC MAKONDA amesema kuwa Gari hizo zitatengenezwa na kukamilika ndani ya Siku 90 ambapo ameipongeza Kampuni ya DAR COACH LTD kwa kujitolea kukarabati Magari hayo bila kutumia pesa ya Serikali.

    Aidha MAKONDA amesema Magari hayo yatafungwa Vifaa vya Kisasa ikiwemo Kiyoyozi (AC), Mfumo wa Chaji ya Simu kila Seat, Runinga, Radio, Viti vya kisasa, Vyoo vya Ndani, Bodi mpya pamoja na mwonekano mzima wa Gari ili ziwe za kisasa.

    RC MAKONDA amesema mpango wake wa kuendelea kuongezea nguvu Vyombo vya Ulinzi na Usalama hautokoma kwakuwa lengo lake ni kuwatumikia Wananchi na Askari wajivunie kufanyakazi chini ya RC MAKONDA.

    Amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa kuhakikisha Ving'ora vya Jeshi la Polisi vinakuwa tofauti na kampuni za Ulinzi na Usalama, Magari ya Wagonjwa ili kupunguza Mkanganyiko kwa wananchi na kujengea heshima Jeshi la Polisi.

    Katika hatua nyingine amewataka Wanasiasa kufanya Sasa za kistaarabu badala ya kutukana na kutoa lugha chafu kwa Serikali.

    Makabidhiano hayo yameshuhudiwa na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na usalama akiwemo Kamanda wa Polisi Dar es Salaam LAZARO MAMBOSASA, Mkurugenzi wa usafirishaji JWTZ Kanal RAJAB MWENYUMBU, Mnadhimu wa Jeshi la Magereza ACP. NOEL JAMES ambapo wote kwa pamoja wamempongeza RC MAKONDA.
    Facebook WhatsApp instagram Twitter Google+ Share

    Google Facebook Twitter

    Makala zinazofanania

    Anna chiganga

    Anna chiganga







  • This Is The Newest Post
    Makonda amtolea povu Nyalandu pamoja na wanaoikosoa serikali ya awamu ya tano.

    Emoticon

    www.greenagricultureskills.com







    Video ya Wiki



    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
    • RSS
    • Google+
    • Instagram

    Tufuate Facebook

    MATANGAZO

    ZILIZOSOMWA SANA

    • BREAKING NEWSSS!!! RC MAKONDA AWATUMBUA MAAFISA ELIMU KATA  12 HIVI PUNDE JIJINI DAR ES SALAAM
      BREAKING NEWSSS!!! RC MAKONDA AWATUMBUA MAAFISA ELIMU KATA 12 HIVI PUNDE JIJINI DAR ES SALAAM
      Habari zilizo tufikia hivi punde ni kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametengua nafasi za maafisa elimu kata 12 kutoka katika kata ,...
    •  UMEIPATA HII -USAJILI SIMBA, YANGA NI UTATA, KUMBE MAJINA YA OKWI, AJIBU HAYATAMBULIKI TFF
      UMEIPATA HII -USAJILI SIMBA, YANGA NI UTATA, KUMBE MAJINA YA OKWI, AJIBU HAYATAMBULIKI TFF
      Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Ibrahim Ajibu. Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limezikumbusha klabu zote ambazo zinasimamiw...
    • TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
      TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
      TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 26.07.2017. Jeshi la Pol...
    • HUYU EMMANUEL MARTIN ANAWEZA KUWA MFALME MPYA WA YANGA LAKINI KWANZA LAZIMA MAMBO HAYA YAWE MUHIMU KWAKE NA KWA WANA YANGA WOTE..
      HUYU EMMANUEL MARTIN ANAWEZA KUWA MFALME MPYA WA YANGA LAKINI KWANZA LAZIMA MAMBO HAYA YAWE MUHIMU KWAKE NA KWA WANA YANGA WOTE..
      EMMANUEL Martin hakuwahi kuwa katika mipango ya Yanga kabisa kupitia benchi la ufundi wala Kamati ya Usajili na ile ya Ufundi kwa a...
    • UKWELI WA USAJILI WA NIYONZIMA KUSAINI SIMBA MIAKA MIWILI UPO HAPA
      UKWELI WA USAJILI WA NIYONZIMA KUSAINI SIMBA MIAKA MIWILI UPO HAPA
      Baada ya Yanga kumsajisili Ibrahim Ajibu kwa dau nono la shilingi milioni 50 pamoja na kumpa usajifiri wa gari, sasa Simba nao wamej...
    • ANGALIA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2016 YALITOLEWA SIKU YA LEO UTOUH NEWS BLOG&TV TUPO PAMOJA NAWE DAIMA KWA LOLOTE
      ANGALIA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2016 YALITOLEWA SIKU YA LEO UTOUH NEWS BLOG&TV TUPO PAMOJA NAWE DAIMA KWA LOLOTE
      Matokeo ya Kidato cha nne kwa wananfunzi waliohitimu mwaka 2016, yametangazwa wakeza kuyaona kwa ==> Bofya << HAPA>>  Kuyata...
    • PESA  ZAMWAGWA KWENYE KABURI IVAN DON ALIYEKUA MUME WA ZARI
      PESA ZAMWAGWA KWENYE KABURI IVAN DON ALIYEKUA MUME WA ZARI
      Katika hali isiyo ya kawaida, mabulungutu ya noti yamemwagwa kwenye kaburi ya Ivan kabla ya kuzikwa ambapo matajiri wenzake walifika ...
    • YANGA  YAMUANGUKIA MANJI, YAMTAKA KUBADHILISHA UAMUZI WAKE
      YANGA YAMUANGUKIA MANJI, YAMTAKA KUBADHILISHA UAMUZI WAKE
      VIONGOZI wa Kamati ya Utendaji ya Yanga wameigomea barua ya kujizulu waliyoandikiwa na mwenyekiti wao, Yusuf Manji na kumuomba abatilish...
    • Vijana Wakumbushwa Umuhimu wa Kulipa Kodi
      Vijana Wakumbushwa Umuhimu wa Kulipa Kodi
      Mwalimu wa Elimu ya Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Gabriel Mwangosi akielezea jambo wakati wa Md...

    Labels

    • kitaifa
    • michezo
    • kimataifa
    • mastaa
    • biashara
    • matangazo
    • Nafasi za kazi


    About

    Google today announced IT admins can now apply policies to Chrome on Android and iOS, in addition to Windows, Mac, Linux, and Chrome OS.

    MAKALA ZETU

    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • Michezo
    • Biashara
    • Magazeti
    • Mastaa
    • Utouh Tv
    • Matangazo
    • Nafasi za kazi

    Baruapepe

    Ungana nasi kwa baruapepe(e-mail) ili upate habari zetu kwa wakati pindi tunapozipata.

    Related Posts

    HABARI KITAIFA

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    TANGAZA NASI

    TANGAZA NASI

    SHARE THIS BLOG

    CHANGIA DAMU

    CHANGIA DAMU

    ZILIZOSOMWA ZAIDI

    • WAIGIZAJI WA KIHINDI (BOLLYWOOD), WANAOMILIKI MKWANJA MREFU
      WAIGIZAJI WA KIHINDI (BOLLYWOOD), WANAOMILIKI MKWANJA MREFU
    • VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT PHILEMON NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA.
      VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT PHILEMON NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA.
    • TPDC YAIBUKA MSHINDI WA TUZO YA BANDA BORA SEKTA YA NISHATI NA MAZINGIRA
      TPDC YAIBUKA MSHINDI WA TUZO YA BANDA BORA SEKTA YA NISHATI NA MAZINGIRA
    • E FM RADIO YATUA MWANZA KWA KISHINDO
      E FM RADIO YATUA MWANZA KWA KISHINDO
    • UWANJA WA NDEGE DODOMA KUTUMIKA MASAA 24
    • UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI WA MWAKA 2016/17 KUFANYIKA DAR ES SALAAM MWISHONI MWA MWEZI MEI, 2017
    • TAARIFA KUTOKA BENKI KUU YA TANZANIA KUHUSU KUBADILISHA FEDHA
    •  MAAJABU: MTI WAZUNGUMZA JIJINI MWANZA UKIPINGA KUKATWA.
      MAAJABU: MTI WAZUNGUMZA JIJINI MWANZA UKIPINGA KUKATWA.
    • "SIJABEBWA  NA UVCCM BALI UWEZO WANGU NDO UMEFANYA NIPEWE NAFASI NILIYONAYO KWA SASA"JOKATE
      "SIJABEBWA NA UVCCM BALI UWEZO WANGU NDO UMEFANYA NIPEWE NAFASI NILIYONAYO KWA SASA"JOKATE
    • WAZIRI UMMY APOKEA TAARIFA YA WATOTO MAPACHA.
      WAZIRI UMMY APOKEA TAARIFA YA WATOTO MAPACHA.
    • TUTAMALIZA KERO YA MAJI TUNDURU-MAJALIWA
      TUTAMALIZA KERO YA MAJI TUNDURU-MAJALIWA
    • MEYA WA JIJI LA DAR , AVUTUTIWA NA MKAA UNAOTOKANA NA TAKA
      MEYA WA JIJI LA DAR , AVUTUTIWA NA MKAA UNAOTOKANA NA TAKA
    • MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI OMBI LA MANJI KUTAKA APEWE DHAMANA
    Created By SoraTemplates & Free Blogger Template
  • Powered by Blogger.