Dk.SHEIN AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA SIMON SIRRO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha kwa Rais

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha kwa Rais,[Picha na Ikulu.] 21/06/2017.
Post a Comment